Thursday , 16th Sep , 2021

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angeline Mabula, ametoa onyo kwa maafisa ardhi wanaorubuniwa na kuuza viwanja kwa ajili ya matumizi yaliyo kinyume cha mkakati mpango kabambe uliopangwa kwa fedha za ndani,

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angeline Mabula

uliowekwa na halmashauri na kusababisha migogoro ya ardhi isiyo ya lazima.

Dkt Mabula ametoa onyo hilo wakati anazindua mpango kabambe wa mji wa Geita 2017-2037, kutokana na baadhi ya malengo yaliyoorodheshwa kutumia miaka mingi ya ukamilikaji.
 

Tazama Video hapo chini