Wednesday , 22nd Sep , 2021

Nyota mpya wa muziki wa Bongo Fleva anayesumbua na jam yake “Kubali” kwasasa, Lody Music amefunguka kuwa alichelewa kujulikana sokoni kutokana na kutokuwa na uwezo wa kulipia gharama za video.

Picha ya Lody Music (aliyeshika maua)

Akiwa kwenye interview Planet Bongo ya East Africa Radio, Lody amesema baada ya  Mama yake kumpa kiasi cha shilingi Laki 5 na kufanya video yake ya kwanza kuli-boost muziki wake kwa kiasi kikubwa.

Msikilize akifunguka