Thursday , 23rd Sep , 2021

Shabiki wa Simba MC Mishepu amefunguka kuweka nyumba yake yenye thamani ya Tsh Milioni 300 endapo Simba akifungwa na Yanga kwenye mchezo wa ngao ya jamii siku ya Septemba 25.

Picha ya shabiki wa Simba MC Mishepu na nyumba yake

MC Mishepu ambaye anakaa Kijitonyama Dar es Salaam anasema amefanya hivyo kwa sababu aamini Yanga hawezi kumfunga Simba na ikitokea hivyo wamfuate atatoa hati za nyumba na kuwakabidhi mashabiki wa Yanga.

Zaidi mtazame hapa kwenye video akizungumzia hilo.