
Picha ya msanii Motra The Future
Motra The Future ameongeza kusema wimbo wake huo wa Weupe ni kama amewakumbusha Kikosi Kazi kuacha kuwachana wasanii wenzao bali watafute michongo ya kuwaingizia pesa.
Wimbo wake huo kwa sasa upo trending namba 6 kwenye mtandao wa Youtube ukiwa na views 22,781.