Friday , 24th Dec , 2021

Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Ruvuma Jackline Ngonyani Msongozi, ameelezea hali aliyokuwa nayo kipindi anazunguka kuomba kura ya kuchaguliwa kuwa mbunge amesema kuwa kuna wakati alisahau hata jina lake.

Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Ruvuma Jackline Ngonyani Msongozi

Kauli hiyo ameitoa wakati akiwashukuru wanawake wa Tunduru kwa imani waliyompa na kumheshimisha kwani walimpa nguvu na ujasiri wa kwamba hawawezi kumuacha na watampa ushindi ahadi ambazo zilikuwa ni za kweli.

Tazama video hapa chini