Tuesday , 18th Jan , 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya teuzi mbalimbali leo Januari 18, 2022, ambapo amemteua Bw. Mcha Hassan Mcha kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mhe. Samia Suluhu Hassan

Bw. Mcha amechukua nafasi ya Msafiri Lameck Mbibo ambaye ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini.