
Picha ya Diamond Platnumz kushoto na kulia ni Alikiba
Diamond Platnumz amesikika akiimba "Nililowaza leo nishawaza sana mi na Kiba ugomvi kipi, nikagudundua ni ushamba na ujana wa kugombania mashabiki".
Wimbo wake huo upo trending namba 1 kwenye mtandao wa Youtube.