Sunday , 13th Mar , 2022

Taarifa zilizotufikia asubuhi hii leo Jumapili Machi 13, 2022 ni kiwanda cha Magodoro cha GSM kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam kimeungua moto.

Sehemu ya moto ukiwaka kiwandani hapo

Zaidi tazama video hapo  chini