Monday , 22nd Aug , 2022

Baa ya Star Break iliyopo Manzese jijini Dar es Salaam imeungua kwa moto hii leo Agosti 22, 2022, majira ya saa 2:00 asubuhi.

Sehemu ya baa iliyoungua

Mashuhuda wa moto huo wamesema kwamba moto umeanzia ndani na tayari Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wamefanikisha kuuzima moto huo na hakuna madhara kwa binadamu yaliyojitokeza.