
Tukio hilo lilitokea Desemba 27 saa 12 jioni kijijini hapo baada ya mtoto huyo kunyakuliwa na fisi na kutokomea naye kuelekea msituni
Baadhi ya mabaki yaliyopatikana katika eneo la tukio ni fuvu la kichwa, ubongo, nguo alizokuwa amevaa pamoja na meno mawili