
Baadhi ya vifaa alivyokuwa anatumia kwenye kazi zake
Wakati wa mahojiano na Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Leslie Mhagama mtuhumiwa huyo amedai kuwa na elimu ya msalaba mwekundu huku akiomba kutotoa maelezo zaidi mpaka pale atakapofikishwa kituo cha polisi.
Unaweza kutazama video yote kwenye YouTube Channel ya East Africa TV hapo chini.