Thursday , 8th May , 2025

Kardinali Robert F. Prevost amechaguliwa kuwa Papa wa 267 wa Kanisa Katoliki Duniani.

Kardinali Robert F. Prevost

Amechagua Jina la Papa Leo wa 14. Kwahiyo kuanzia leo atajulikana kama Papa Leo wa 14.