msanii wa muziki wa bongofleva nchini KinG Crazy GK
GK amewataka mashabiki wake kufahamu kuwa, muda wote ambao amekuwa nje ya gemu ya muziki, amekuwa akijiongezea elimu kwa upande wa sekta hiyo, akijiamini kuwa aliacha muziki akiwa ngazi ya juu, na anarejea akiwa ngazi ya juu zaidi sambamba na ujuzi wa kitaalam katika fani hiyo.
