Saturday , 21st Jun , 2025

Kupitia Insta Story ya 'The Voice of Africa' Linex Sunday Mjeda amehoji changamoto ya afya ya akili wanayopitia baadhi ya wasanii kwenye muziki wao kwa sasa.

Picha ya Linex Sunday Mjeda

"Wanaopitia magonjwa ya akili kwenye muziki/sanaa huwa mmefanya makubwa yapi mpaka mpagawe na mshindwe kurudi studio? Em rudini studio fanyeni kazi, kazi haisemagi uongo Depression Mxieew kwa hit zipi" ameandika Linex

Unahisi kipi kinafanya wasanii kupata changamoto ya afya ya akili?