CCM wampongeza Rais kwa kuongeza mishahara

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Shaka Hamdu Shaka.

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia ongezeko la mishahara na kupandishwa kwa malipo ya mkupuo ya pensheni kwa wastaafu, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020 -2025

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS