Barnaba na Post Malone wachafua dhambi za Fashion Upande wa kushoto ni Barnaba Classic kulia Post Malone Hizi ni dhambi za Fashion unaweza kusema hivyo tena kwa sauti ya mtangazaji Deogratius Kithama pale kwenye Nirvana ya East Africa TV kila siku ya Alhamisi saa 3:00 usiku. Read more about Barnaba na Post Malone wachafua dhambi za Fashion