Waziri atamani kila mtanzania ale Kg 50 za nyama
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki, amewataka wadau wa tasnia ya Kuku nchini kutafakari namna ya kupunguza gharama za uzalishaji ili mnufaika wa mwisho ambaye ni mlaji aweze kununua Kuku kwa bei nafuu na kufikia lengo la kila Mtanzania kula nyama kilogramu 50 kwa mwaka.