Turpin Pilato wa Fainali UEFA Champs League 2022
Kamati ya waamuzi ya shirkisho la soka barani ulaya UEFA imemteua muamuzi Clement Turpin (39) kuchezesha mchezo wa fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya UEFA Champions league 2022 kati ya Liverpool na Real Madrid.