Shahidi aeleza namna Askari alivyopigwa na wafuasi
Shahidi wa kwanza katika kesi inayomkabili Mfalme Zumaridi na wenzake ameieleza Mahakama kwamba alipofika kanisani kwa ajili ya kumchukua mtoto aliyekuwa akiishi hapo wafuasi wa Zumaridi walianza kumpiga Askari polisi aliyekuwa naye huku wakiunguruma.