Kibwana '' nitaendelea kuwapa furaha mwananchi''

Kibwana Shomari amesaini mkataba wa miaka mwili kuendelea kuitumikia timu ya wananchi Yanga.

Beki wa Yanga Kibwana Shomari, amesema kuwa anafurahia kuwa ndani ya kikosi cha Yanga na ana imani ya kuendelea kufanya vizuri baada ya kuongeza mkataba wa miaka miwili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS