Majambazi waliopora milioni 1.2 kijijini wauawa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Lindi Mtatiro Kitinkwi

Majambazi wawili ambao majina yao hayajafahamika wameuawa na wananchi wilayani Kilwa mkoani Lindi, baada ya kuvamia duka la mfanyabiashara mmoja na kupora fedha taslimu kiasi cha shilingi milioni 1.2. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS