Changamoto ya magodoro gereza la Liwale yatatuliwa
Ushirikiano kati ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke Jokate Mwegelo, kiwanda cha magodoro Vita Foam pamoja na mkuu wa wilaya ya Liwale Judith Nguli umewezesha upatikanaji wa Magodoro 50 yaliyokuwa yanahitajika katika gereza la Wilaya ya liwale ambayo ilikuwa Changamoto ya muda katika gereza hilo