"Binadam wote wana akili za Mwanamke" - Mchungaji
Mchungaji Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Mashariki na Pwani Dar es Salaam, Richard Hananja anasema Mwanamke ndio mwalimu mkubwa duniani na hakuna binaadam mwenye akili ya mwanaume kwa sababu saikolojia ya binaadam imepandikizwa na Mwanamke.