Mvutano mkali wa madiwani Katavi
Madiwani wa Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wamesalia katika kikao cha baraza la madiwani baada ya kunusa ubadhilifu wa pesa na kutoa maagizo kwa kamati ya wataalamu wa Halmashauri hiyo na kushindwa kutekeleza maagizo ipasavyo