Rais Samia amtaka Nape kufanya kazi yake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemtaka Waziri wa Habari na Mawasiliano, Nape Nnauye, kuchuja katuni zinazopatikana mitandaoni kwani baadhi ya zilizopo zinakiuka mila na desturi za Mtanzania.