Fisi aliyejeruhi mtoto auawa kwa risasi tano
Vikosi vya kiusalama Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, vimemuua kwa kumpiga risasi tano mnyama aina ya Fisi, aliyemvamia na kumjeruhi mtoto mdogo Gindu Kilulu, mkazi wa Mtaa wa Yoma Kata ya Somanda wilayani humo.