IGP asema matukio ya 'Panya road' yanamdhalilisha Waziri wa Mambo ya ndani Mhandisi Hamadi Masauni pamoja na mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Simon Sirro, wamefanya ziara maeneo ya Chanika, hasa yaliyoathirika na matukio ya uvamizi wa Panya road. Read more about IGP asema matukio ya 'Panya road' yanamdhalilisha