Yanga vs Ruvu ni mechi ngumu -Kaze

(Kocha msaidizi wa Yanga Cedric Kaze)

Vinara wa ligi kuu Tanzania bara (Nbc Premier League 2021/22) klabu ya Yanga wanatarajiwa kushuka kwenye dimba la Lake Tanganyika mnamo May 4 kupambana na klabu ya Ruvu Shouting majira ya saa kumi kamili jioni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS