Picha ya Burna Boy akiwa ameshika sidiria aliyotunzwa
Ni headlines za The African Giant Burna Boy ambaye mashabiki wa kike Jijini New York nchini Marekani wamemtunza zawadi ya sidiria wakati ana-perform kwenye tamasha la 'One Night In Space' Madison Square Garden.