Wanajeshi 23, 000 wa Urusi wauawa Baadhi ya uharibifu uliotokana na vita kati ya Urusi na Ukraine Wizara ya Ulinzi ya Ukraine imedai kwamba jumla ya wanajeshi 23, 000 wa Urusi wamepoteza maisha tangu vita kati ya nchi hizo mbili ianze. Read more about Wanajeshi 23, 000 wa Urusi wauawa