Hii ndio suluhu majanga ya moto Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amekutana na viongozi wa masoko jijini Dar es salaam, kwa lengo la kujadili mbinu za kuzuia na kupambana na majanga ya moto masokoni huku vyanzo vya ajali hizo vikihusisha uzembe wa watu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS