Ni rasmi nastaafu masumbwi, Fury

Bondia wa uzani mzito anayeshikilia mkanda wa WBC kutoka Uingereza, Tyson Fury ameweka wazi dhamira yake ya kustaafu mchezo wa masumbwi baada ya kumtwanga Dillian Whyte siku ya Jumamosi kwa KO kwenye round ya sita.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS