Kenya yaweka marufuku ya kutotoka nje
Serikali nchini Kenya imetangaz amri ya kutotoka ndani kuanzia saa 12:00 jioni hadi saa 12:00 asubuhi katika kaunti ya Marsabit, kufuatia visa vya ugaidi vilivyosababisha mauaji kwa wanakijiji katika kaunti hiyo.