IGP Sirro aahidi milioni 1 kwa mtu huyu
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amesema kwamba mwananchi yeyote atakayefanikisha kutoa taarifa na kukamatwa kwa mtuhumiwa anayejihusisha wizi wa mifugo na uhalifu wa kutumia silaha atazawadiwa kiasi cha shilingi milioni moja.