Liverpool Unbeaten mtoano, Klopp kutengewa fungu
Klabu ya liverpool sasa haijapoteza mchezo katika uwanja wa Anfield kwenye michezo 12 ya hatua ya mtoano ya michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya wakishinda michezo 10 na kutoka sare 2 baada ya kuwalaza Villareal magoli 2 kwa 0 katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa nusu fainali ya pili