Tashoka yatekeleza kwa vitendo. wachezaji wa Karate. Chama cha Mchezo wa Karate Tanzania (TASHOKA) kinaendelea kutekeleza kwa vitendo matukio katika kalenda yake ya Mwaka 2022 iliyoitoa hivi karibuni. Read more about Tashoka yatekeleza kwa vitendo.