Chanjo ya Covid yamtesa Novak Djokovic
Mashindano ya tennis ya BNP Paribas Open 2022 yanazidi kushika kasi mjini California nchini Marekani huku nyota kutoka Serbia Novak Djokovic akijumuishwa kushiriki huku kipengele cha wanaoshiriki kuwa wamepata chanjo ya Uviko 19 kikiibua sintofahamu kwa nyota huyo.

