"Mwanaume hutakiwi kuoga kila siku" - Kodak Black

Picha ya msanii Kodak Black

Rapa asiyeishiwa na vituko Kodak Black kutoka nchini Marekani, ame-make headline mitandaoni baada ya kusema mwanaume haitaji kuwa anaoga kila siku bali kwa wanawake inafaa kuwa hivyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS