Idadi ya watoto anaotaka Vera Sidika Picha ya Vera Sidika, Brown Mauzo na mtoto wao Kutoka 254 Kenya mrembo na mfanyabiashara Vera Sidika ameweka wazi idadi ya watoto anaotaka kuwa nao kwenye maisha yake ambao ni watoto watatu au wanne. Read more about Idadi ya watoto anaotaka Vera Sidika