Mchungaji Mfalme Zumaridi akamatwa Mwanza

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza Ramadhan Ng'anzi

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ambaye ni Mchungaji wa kanisa la Zumaridi, kwa tuhuma za usafirishaji haramu wa binadamu 149 wakiwemo watoto wenye umri kati ya miaka 4 hadi 17. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS