Michezo wa Newcastle dhidi ya Everton wahairishwa
Mchezo wa ugenini kati Newcastle United dhidi ya Everton uliopangwa kucheza siku ya Decemba 31, umehairishwa kutokana na kuibuka kwa wimbi kubwa la maambukizi ya UVIKO-19 na ongezeko la majeruhi katika kambi ya Newcastle.