Heshimu taasisi ya Urais- Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa Urais ni taasisi na sio mtu, na kuwataka wasiompenda Rais basi waheshimu mambo yanayoizunguka taasisi hiyo pamoja na Mungu ambaye ndiye hupanga nani akae wapi.