Anayefanya unyang'anyi Mabwepande akamatwa
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewakamata watu 61 wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu ambapo saba kati yao yupo kijana aitwaye Yohana Zacharia maarufu kama Cobra ambapo wamekuwa wakitumia bastola bandia kutishia na kunyang'anya watu.