Aguero amefata ushauri wa Madaktari, kustaafu soka
Mshambuliaji wa klabu ya FC Barcelona Sergio Kun Aguero ametangaza kustaafu rasmi kucheza soka la kulipwa kutokana na matatizo ya ugonjwa wa moyo, mshambuliaji huyo ameitumikia klabu hiyo kutoka Catalunya katika michezo mitano pekee tangu ajiunge nayo akitokea Manchester City.