Yanga yaifuata Mtibwa, Djuma shabani arejea
Kikosi cha Yanga kimeondoka mchana wa leo Februari 21, 2022 kuelekea Manungu Turiani Mkoani Morogoro kuwafuata walima miwa wa mkoa huo klabu ya Mtibwa Sukari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania utakaochezwa Jumatano ya Februari 23,2022.

