Chelsea na Juventus dimbani 16 bora UCL leo

(Juventus na Mabingwa watetezi wa UEFA Chelsea 'The Blues')

Ligi ya Mabingwa barani Ulaya hatua ya 16 bora inataraji kuendelea tena saa 5:00 usiku wa leo kwa michezo miwili ambapo Chelsea wataendelea kampeni yake ya kutetea ubingwa wake dhidi ya Lille ya Ufaransa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS