Mwili wa mama Lulu Diva wazikwa Tanga Mwili wa mama Lulu Diva ukipumzishwa kwenye nyumba yake ya milele Mwili wa Mama mzazi wa msanii wa Bongofleva Lulu Diva tayari umezikwa nyumbani kwao Mafele Muheza mkoani Tanga, leo mchana baada ya kufariki dunia siku ya juzi Jijini Dar es salaam. Read more about Mwili wa mama Lulu Diva wazikwa Tanga