Simba, Yanga kuwindana nusu fainali ASFC

Wachezaji wa Simba na Yanga wakiwania mpira kwenye moja ya michezo ya Ligi Kuu

Vigogo wa jiji la Dar es salaam Simba SC, Yanga SC na Azam FC zitacheza michezo yao ya hatua ya robo faianali katika viwanja vyao vya nyumbani kwenye michuano ya Azam Sports Federation Cup. Simba na Yanga huwenda wakakutana nusu fainali, droo ya michuano hii imefanyika leo Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS