Vanessa Mdee anogewa mtoto wa pili na Rotimi 

Vanessa Mdee na mpenzi wake Rotimi

Huenda Vanessa Mdee anatamani kuongeza mtoto wa pili na mpenzi wake wa Rotimi baada ya ku-post video fupi yenye caption inayosema mtoto wa pili yupo njiani kuja 'baby number two is loading'.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS