Chelsea kukutana na Bayern au Real Madrid 16 bora? Droo ya mtoana ya Ligi ya Mabingwa Ulaya inatarajia kufanyika siku ya Jumatatu December 13, baada ya timu 16 kufuzu kwaajili ya hatua hiyo inayotarajia kutimua vumbia mwakani 2022, mwezi wa pili. Read more about Chelsea kukutana na Bayern au Real Madrid 16 bora?